MASAUNI ATOA MAAGIZO MAKALI KWA JESHI LA POLISI ZANZIBAR

29
31Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.

#JikingeNaCoronaBakiSalama #KtvTzOnline

Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online

Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932

Ktv Tz Online Journalists

cc: Sadia Rashid
cc: Juma Maulid
cc: Masoud Maganga
cc: Sauti Byego
cc: Tunu Salum
cc: Maryam Busara

Camera Department”
Dadi Ali
Mwarabu Mmadi
Nassor Shaibu
Abdallah Dula

Editors:
Juma Maulid

Video Zingine:
Angalia hapa – Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
– Ali Kiba akiwa Oman

Nguồn: https://alimentproteine.com/

Xem thêm bài viết khác: https://alimentproteine.com/giai-tri/

29 COMMENTS

 1. nyie mwajua haki angalikua mwajua haki 2015 mwengetuachia kiongozi tulie mchagua nyinyi hamujui ila mabavu2 ndio kazi yenu na udiktetear2bas

 2. Muhimu wafwate katiba na sheria zake na sio maagizo ya wanasiasa ambao ndio chanzo cha dhulma kwa wanyonge wa kila taifa kwenye hii dunia.

 3. Kwani uchaguzi ni ugomvi au ujinga wenu tuu police na uchaguzi vinahusu wapi au ndiyo mnawaeelekeza kuja kudhulumu watu na kwa usenge wao subirini siku kiidoogo mtaona ujinga watakao ufanya halafu wepesi kuzungumziya sheriya wasiyo weza kuitekeleza pumbaav

 4. ALLAH anafahamu udhahiri wenu na siri yenu ila namuomba ALLAH awatie nia nzuri,huruma,khofu ya ALLAH,mapenzi pia naufahamu kwamba wao niwanadamu.

 5. Hao mapolisi wa znz wote wana vitumbo.polisi anakua hivyo kweli? Yote dhulma hiyo na mtakwenda kujibu siku ya kiama

 6. Mwaka wowote na Chama chochote kitakacho Kuja kujaaliwa kuongoza znz basi kitu Cha kwanza nikulivunja na kuliunda upya jeshi LA police hapa hatuna walinda Amani Bali tuna genge la magaidi basi

 7. Nawaombea salama ndugu zetu wazanzibar Allah awalinde…maana km wanavosema washajipanga hao piga ua km kawaida yao.

 8. Kaka hamadi hata kusema INN SHAA ALLAH hwz wasema tu mwezi wa kumi tunaenda kwenye uchaguzi vipi una uhakika utafika uwo mwezi wa 10 au vipi??

 9. Nyote ni majangili nyie katika mavazi ya polisi. Mbwa mwitu katika mavazi ya kondoo. Mumewaweka Wazanzibari mahabusu mwaka karibu wa nane huu bila kupatikana na kosa lolote. Tunamuomba Allah awalipe maovu hapa hapa duniani na kesho akhera kwa uovu mnaotufanyia sisi wananchi wanyonge. Amin

 10. Ninchii isokua nauhuru.nahaki kwaza huyu masauni nimtuu mbaya sn kwawazanzibar namm namuamini Ali karume aliposema huyu sio pao hapa.znz.

 11. Wale wenzetu kutoka Zanzibar walioko maabusu sasa miaka karibu SITA,hamuoni kama munawadhulumu haki yao?Upelelezi gani huo usiokwisha kwa mda wote huo?Hiyo ndio democracy ya kweli.

 12. Hao polis waliopo hapo sio watakuja vijana wadogo kutoka bara miaka ukitizama kama 30 au 25 wanatikisa zenji hata hao polis walioshiba vitambi utakuta wamejichimbia ndani waogopa kutoka nje vijamaa vipo nje vinatikisa kiberiti wamchanga wamchangani wamlandege wamlange wadarajani wadarajani hatupumui poleni 🙌🙆🙆🙆☹☹☹

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here